Naomba ushauri wenu!

Naomba ushauri wenu!

Supervisor

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
559
Reaction score
208
Mimi nafanya kazi taasisi moja ya serikali. Ktk ofisi yetu niko mm na dada mmoja sijaoa na yeye hajaolewa na tumetokea kupendana sana, binti kwa kwel anatabia nzur kwa ujumla yake mpaka kunawatu wananishauli nimuoe na mm kwel nampenda sana naona naweza kuishi nae vzur.
Naombeni ushauri wenu jaman hivi kuna madhara gani mkioana mkiwa mnafanya kazi ofisi moja?.
 
Hakuna madhara. Kwanza mimi ningependa kupata nafasi ya hivyo. Mnakwenda wote kazini, mchana mnakwenda pamoja lunch etc.
 
Back
Top Bottom