Ndesa Khan
Member
- Jun 30, 2020
- 7
- 26
Ndugu zangu katika bwana natumai mu wazima,kama kichwa kinavyo jieleza nipo karibu na mgodi Wa acacia gold mining sasa kuna fursa za vijana zimetolewa kwa mwenye wazo la kampuni atapewa support financial so mimi hadi sasa sijapata wazo la kampuni naomba msaada wenu.