hizo ukubwa wa hp sio suruhisho hizo pump zote zinaonyesha maximum head ni ndogo kuliko urefu wa kisima, mfano hiyo shemge max head naona imendikwa kama 32 hivi, sasa haiwezi kupeleka maji kwa pressure, badilisha pumpNatumia kisima kwa ajili ya carwash sasa watu wanapata tabu wakiwa juu ya bod truck kupata maji mengi nifanye nn ili maji yawe mengi nimesafisha kisima maybe ulikua uchafy mwingi lakini bado maji madogo kisima meter 35-40
Motor segems hoz pow 4
Water pump mashine honda hoz power 6 incase umeme ukikatika au magari yakiwa mengi tunaisupport
Asante sana boss pump ya design gnhizo ukubwa wa hp sio suruhisho hizo pump zote zinaonyesha maximum head ni ndogo kuliko urefu wa kisima, mfano hiyo shemge max head naona imendikwa kama 32 hivi, sasa haiwezi kupeleka maji kwa pressure, badilisha pump
Hata akibadilisha pump wakati yield ya kisima ni ndogo haitasaidia.La msingi ajenge reservoir ili ku boost capacity ya kisima.Badilisha pump
Asante sana boss pump ya design gnunu
Nunua tank hata lita 1000, efadhi maji humo, so hiyo mashine yako ya kuosha itachukua maji kutoka kwenye tank ,, kuhusu pump itakubidi upige hesabu kutoka chini ya kisima hadi kwenye tank ni mita ngapi, mfano hapo umesema kisima ni mita 35, so tuseme kutoka kwenye kisima hadi kwenye tank ni mita 10, so jumla ni mira 45, sasa unapoenda kununua pump hakikisha ina maximum head zaidi ya mita hizo 45, usiangalie horse power,Asante sana boss pump ya design gn