Naomba ushauri

dicksound

New Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
4
Reaction score
0
Wana JamiiForums,

Nilikuwa nauliza swali moja,

Mimi niko kwenye mahusiano kwa kipindi kuna changamoto niliyokutana nayo hivi karibuni nilikuwa na mpenzi wangu katika hali ya kutaka kufanya tendo la kujamiana uume ghafla ukanywea, hofu na mashaka vikanitawala kwa siku hiyo kikweli nilishindwa ila nikasema ngoja nijaribu kesho kutwa hali ilikuwa vile vile nataka kujua ni tatizo la kisakolojia au nguvu za kiume zimepungua.
 
Hiyo hali ni kawaida na inachangiwa na vitu vya kawaida tu,
malaria pia yanasababisha hiyo hali,
sometimes Ukiona mashine haijasimama basi ujue mzunguko wa damu hauko vizuri,
So concentration ni muhimu
 
Hiyo hali ni kawaida na inachangiwa na vitu vya kawaida tu,
malaria pia yanasababisha hiyo hali,
sometimes Ukiona mashine haijasimama basi ujue mzunguko wa damu hauko vizuri,
So concentration ni muhimu
Tnx bro nimekuelewa
 
diksoni njoo nikusaidiye dawa sangu ni kiboko sana utapona na ngufu italudi kama samani
 
Mmmmm itakua anakueka njiti ya kiberiti kichwan kwake mkianza kuduu...
 
Huna nguvu
 
Mkuu ushafikia expire date au? Hahahaaa kama hujazaliwa na hilo tatizo, basi litakuwa la muda tu so vuta subra.
 
Mkuu ushafikia expire date au? Hahahaaa kama hujazaliwa na hilo tatizo, basi litakuwa la muda tu so vuta subra.
Sijazaliwa nalo mzee nilikuwa na piga mechi fresh na hata nikipiga bao la kwanza uume bado umesimama unataka yaan imenitokea hiv karibuni
 
mimi nakushauri uache punyeto maana ndio janga lenu kubwa vijana wa sasa hivi
 
Kawaida tu hiyo, acha mawenge toa hofu na wasiwasi huku ukijiamini.

Fanya mazoezi ya kutosha na unywe maji mengi.

Psychological problem.
 
John nkuheshim NA usinilazmish nkuvunjie heshima.Kwani hujawah ckia au kuona vijana wengi wanalalamika kuhus jogoo kushindwa kupnd mtungu gafl t ten c Mara moja.wkat mwanzo alikuwa anapand vizur bila shida.Kote alimoingia unapajua?au aliaminishwa namaneno tuu.Utamjuaje MSHIRIKINA KAMA HAMUUDUMU WOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…