Naomba ushauri

FiQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
477
Reaction score
76
Wadau niliwahi kutendwa kama mara 2 hv kiasi kwamba niliapa ctakuja kupenda tena.Nimedumu bila mpenzi kwa miaka miwili bt last 6 months kuna girl nimempenda sana tena nimevumilia bt mwezi huu nikampa ukweli akanizungusha kama cku wk hv then akakubali kuwa na mm,
hii ni baada ya kumuhakikishia kwamba cna mpenz na kuna cku nilimwambia kuwa namuamini sana na ili yeye pia aniamini mm nilimshawishi mpaka akakubali kwenda Angaza tukapima HIV na wote majibu yetu yapo safi,
sasa baada ya wk tatu ananiambia kuna boyfrnd wake alisoma nae A level na bado hawajaacha eti amekubali kuwa na mm coz ameona nampenda kwa dhati na yeye pia ananipenda., nikamwambia amuache huyo boy ili abaki na mm,akasema ni vigumu sana kumuacha coz is her 1st lover, amekiri ananipenda bt kumuacha huyo school lover wake ndio hawezi
Nampenda sana huyu binti yani ameuteka moyo wangu haswa bt mm ctak ku share mapenz je nifanyeje huyu binti anielewe na awe wangu daima!
Je nikimuoa huyu binti huyo school lover wake hawez kweli kuniibia mke coz kauli yake binti kuwa 1st lover ni vigumu kumuacha inanichanganya mno.
 
mkuu,
jitahidi kuvumilia uachane naye tu. no way out..unless kama mnataka ku-share. Ingawaje umempenda, lakini lazima ukubaliane na ukweli hali.

Kuwa mvumilivu, kama kweli ana nia na wewe atakuja clean..yaani atakuwa tayari ameshaamua kumuacha jamaa yake. Ila for the time being, assume kama hiyo scenario ni unlikely.. Songa mbele mkuu, wako wengi, time itasaidia, Mungu atakusaidia tu utoke..

thanks
 
 
Pole sana mpendwa, achana na huyo mdada mapema usije juta baadae. Inaonekana bado hana maamuzi. Na mwisho asije toa maamuzi yatakayo kuumiza na kukopotezea muda wako. Pia anaweza kuwa anakucheat ukija jua mkaishia pabaya. Inapobidi fanya maamuz magumu. Mshirikishe Mungu uatapa wa kufanana na wewe.
 
Thanx bt nampenda sana huyu binti kiasi kwamba i wish cku moja aje kuwa my wife, nimemweleza kwa kila aina ya neno na hisia zote za moyo wangu ila ndio hvyo mnasimamo anaonipa unanickitisha

Hizo hisia ulizonazo ni za kweli kabisa..mambo yakikolea ni mtu unakuwa kama kipofu.
Ni ushauri wangu tu, kwamba mpe muda na yeye ajiangalie asimamaje?? maana mwisho wa siku itabidi achague wa kukaa naye.. Sasa kama wewe ni mvumilivu endelea kumsuburi...hahaa

Ingekuwa ni mimi ningemwomba tuachane, mpaka hapo atakapovunja uhusiano wake wa kwanza (kama kuna uwezekano).. Endelea na maisha, muondoe taratibu kichwani
 
Peaceficky, its obvious that this girl is not that into you! No woman anayekupenda will ask of you what she
has. So my friend if you can live with the fact that wewe ni mshika pembe then stay otherwise this is
nothing but a "heart break" in the making.

NOTE
Im will bet you fifty bucks that huyo mwenzio Mr. "A'level" labda hata hajawai kuambiwa ur existance!!
 
mm naona hii ndio mwisho ctakuja kupenda tena,najuta kwa nn nimevunja nadhiri yangu niliyoapa hapo mwanzo.
Hata hawa girls wawili wa mwanzo walinitenda na niliwaambia live kuwa kuna cku watakuja kunikumbuka na kweli later mmoja alirudi na kutaka turudiane bt nikakataa, mwingine mpaka sasa anajuta, kwa kawaida nikipenda napenda haswa tena kwa moyo wangu wote.
 

mkuu haya mambo ya mapenzi hayana formula. sometimes hayako straight forward.
Ukichukulia kila mtu ana matarajia yake kwenye mahusiano, kwa hiyo complexity inaongezeka
Usikate tamaa kirahisi hivyo. Kuwa mvumilivu tu. Baada ya muda mambo yatajipa.
Umeambwa kwa ajili ya binti mmoja tu..jiamini, mambo yatakaa sawa tu.
 
yah bt mbna hata mm nilipokua A level nilikua na lover pia bt kwa sasa cpo nae tena! I bilv mapenz ya sekondar ni vigumu kupelekea ndoa bt huyu wa sasa naamini inaweza kuleta ndoa coz wote tupo chuo, inanichanganya kwa kwel hasa ukizingatia napendwa sana na girls ww wote wanaotokea kunipenda mm nakuwa siwapendi, naona kama mkosi vile.
 
kha! Sasa unataka kumuoa vp wakati kashakuambia kuwa hawezi kumuacha huyo jamaa? wala usimuamini hata kduchu huyo demu ww mchukulie kama demu wa nje.
 
yah bt mm naona kama mkosi vile coz napendwa na gals wengi tu bt mm nakuwa cwapendi yani wanakua hawajanivutia moyon then wengi wanaojileta wenyewe nawaona kama wahuni watabia vile bt ninaowapenda mm ndio hawa wenye matatizo kama haya,yani inanichanganya
 

Don't believe a myth kwamba ukiwa chuo basi ndo wakati wa kuchagua mke wako..Hakuna guarantee yoyote kwamba atakuja kuwa mke wako..
Hapo bado hamjatafuta kazi, hujui mwenzako atakuwa na mawazo gani.. nakushauri uutambue ukweli..mapenzi ya chuo bado sio guarantee..
 

Hebu angalia post ya mtu mmoja humu ndani..isome kwa makini, nadhani itakusaidia kukujengea uwezo wa kufikiri


(samahani kwa mtoa mada ikiwa hataridhishwa na hili)

Soma man..
 

Pole dear, let me address the bolded items as follows:
As humans we always long for what we dont/cant have so mara nyingi kupenda na usipopendwa and vice versa is a story of everybody's life na sio mkosi. For instance look at the Irony in ur situation itself. Your girl is in love with her former boyfriend. However it seems jamaa mwenyewe is not as interested as she is, maana otherwise believe me wangekuwa pamoja. So Im sure in her head she , just like you is thinking, mbona huyo X wake hampendi wakati yeye kunawavulana wengine (including you) wanampenda?
 
Hebu angalia post ya mtu mmoja humu ndani..isome kwa makini, nadhani itakusaidia kukujengea uwezo wa kufikiri



(samahani kwa mtoa mada ikiwa hataridhishwa na hili)

Soma man..
yah thanx kwa kuweka hiyo post nimeisoma inshort mikasa inafanana coz wote tuliotegemea kuwa watatufaa ndio hao wana matatizo bt hapa kuna tofauti ya kimazingira coz mm huyu girl si mtaani nasoma nae chuo kimoja na haipiti cku bila kumtia machoni thus y kumuacha tu au kuchukua uamuz bado nasita kutokana na maumivu ambaya nitayapata daily, cjui unanishauri nini kwa hilo?
 
Binafsi naomba nikuambie huyo dada hakupendi coz kama angekuwa anakupenda asingekuambia live hawezi kumuacha lover wake,achana nae,wadada wapo wengi wenye tabia nzuri just kp praying,mke mwema anatoka kwa Mungu,
 
hakupend huyo mdada, achna nae vngnevyo uwe tayar kushea mapnz! Plz futa huo usemi wako kuwa Mwanamke akikutokea ni Muhuni! Sio kwel. Pole kw mikasa.
 
Mwana fikiria lengo hasa lililokuweka hapo reflect ulikotoka na unakokwenda kwani andaa kwanza mazingira ya maisha kwanza kwani ma girl ni wengi sana na kila leo wanazidi kuzaliwa unaona huyo ni mzuri sana kwa sasa kwa sababu ndo unainteract naye wakati wote hapo katika pembetatu au nne.Na hapo ni mawazo ya kihisia tu thats y unasema INAKUWA NGUMU KUACHANA NAYE jaribu kutumia thinking capability yako na si hisia kwani HISIA NI UGONJWA MBAYA SANA.Pia jaribu kubadilisha interaction ya mafreind zao hasa kuwa makini na mazungumzo yao wayanenayo midomoni mwao,Maisha ya chuo ni tofauti sana hapo upo ndani ya geti na mambo yafanyikayo humo duuu so sad. Haaa ni mtizamo tu. Gudday!!!
 
Dahh
kwa kweli
eti anakupenda
huku hachoki kukusimulia
kuhusu X Lover ..mmmmhhhbhh

Kwa nini tu hakukueleza
hayo yote wakati mmekutana

Nway just be careful
Sababu sounds like she still have fellings for X. now you know
About it ,just play your cards right...
 

Hivi wewe unataka uambiweje? Mtu kaisha kuambia ni ngumu kumuacha unang'ang'ania nini? Baadae unaanza oooh mkewangu anacheat!! Mkuu friendly speaking unaonyesha uzaifu wa hali ya juu, stuka chukua tym! No string attached hapo... unachuma janga hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…