Naomba ushauri

Mani H

Senior Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
180
Reaction score
46
SALAM kwa wakubwa na hi kw vijana wenzangu,me ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho BA(economics, public administration na political science), ninamalengo ya kuungunisha kusoma master, ila tatizo langu kubwa ni bado sijajua kitu gani nitasoma master ambacho kinamarket katika soko la ajira na pia kitachonijengea caree mzuri katika maisha yangu. natumaini ndugu zangu wa jf mtanisaidia kwa ushauri kipi kizuri kitachonifaa kutokana na back ground yangu ya first degree. ahsanten
 
Chagua Economics ni nzuri ingawa kuna suala la kusoma kitu ambacho unakipenda na si kuangalia maslahi tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…