J Juma wa Juma Senior Member Joined Jan 13, 2017 Posts 150 Reaction score 221 Dec 21, 2017 #1 Mimi ni kijana huwa napenda sana kunywa juice ya miwa karibu kila siku na huwa nakunywa Lita 1...Je kuna madhara kunywa kila siku juice hii???
Mimi ni kijana huwa napenda sana kunywa juice ya miwa karibu kila siku na huwa nakunywa Lita 1...Je kuna madhara kunywa kila siku juice hii???
king otaligamba JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 2,178 Reaction score 2,033 Dec 21, 2017 #2 Inamaana wewe ndoo yako ya grease bado imejaa?