oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
thanks kaka..ntafanya hvyosasa naomba kwanza uulizie utaratibu katika chuo chako kama wana utaratibu wa kutoa HIGHER DIPLOMA ka wanafunzi waliofika mwaka wa 2, kama wanatoa chukua then hairisha kwa miaka kadhaa ili uende kusoma uko USA, ukirudi chance yako ya kusoma utaikuta na utamalizia ule mwaka mmoja uliouhairisha, ni vyema ukauliza taratibu za chuo zilivyo kabla hujaamua. thanx 4that
thanks nao ni ushaur pia,kumbuka nimeomb na cjalazmsha bujibuji!ungeacha tuu kuliko ulichoandikanyambafuuuuuuuuu