Tall Emma
Member
- Sep 9, 2016
- 68
- 48
Mie Nina mtoto wa miaka6 na miezi name tangu azaliwe amekuwa na matatizo ya tumbo nimempeleka hospitali tofauti lkn bado tumbo lake halijakaa sawa huwa Mara nyingi anapitiwa na haja kubwa kwa kiasi kidogo ukimpa dawa za kienyeji au hospitali linatulia na wala si kuharisha anapitiwa na kiss cha haja kubwa huo in ugonjwa gani?