Anapitiwaje hapo fafanua mkuu! Anajisaidia bila kujitambua? AuMie Nina mtoto wa miaka6 na miezi name tangu azaliwe amekuwa na matatizo ya tumbo nimempeleka hospitali tofauti lkn bado tumbo lake halijakaa sawa huwa Mara nyingi anapitiwa na haja kubwa kwa kiasi kidogo ukimpa dawa za kienyeji au hospitali linatulia na wala si kuharisha anapitiwa na kiss cha haja kubwa huo in ugonjwa gani?
ana minyoo aina ya ascaris lumbricodes.Yaani yy tumbo linauma aharishi anaweza kujisikia kunya wakati huo chini kama kunatekenya haja kaa sawa kahaja kanapita na huwa kanaharufu sana in kiasi Dogo sana anachokunya
YAWEZA kuwa Ni typhoid au Amoeba lakini pia mkague vizuri humo nyuma halafu Rudi Tena HOSPITALI Usiende zahanat nenda hospitali ya RUFAA ya MKOA eleza tatizo I WAPO atapewa dawa akatumia Tena asipo pona njoo hapa takuelekeza Cha kufanyaYaani yy tumbo linauma aharishi anaweza kujisikia kunya wakati huo chini kama kunatekenya haja kaa sawa kahaja kanapita na huwa kanaharufu sana in kiasi Dogo sana anachokunya