Ennie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 7,137 Reaction score 4,134 Jul 27, 2011 #41 Kbd said: Nakushukuru sana kwa ushauri.Ila huoni haja ya kumsaidia chochote huyu mdada? Click to expand... Ongea nae kwanza huyo mdada ili ujue kama yuko tayari kupokea msaada vinginevyo ukienda front atakukana utashangaa.
Kbd said: Nakushukuru sana kwa ushauri.Ila huoni haja ya kumsaidia chochote huyu mdada? Click to expand... Ongea nae kwanza huyo mdada ili ujue kama yuko tayari kupokea msaada vinginevyo ukienda front atakukana utashangaa.
G_crisis JF-Expert Member Joined Jun 19, 2011 Posts 723 Reaction score 247 Jul 27, 2011 #42 Hao watu ni kabila gani? usikute ni Wakurya wenyewe wanashow love kwa mtindo huo!!