Naomba ushauri

Naomba ushauri

Jamani nataka kukopa ni benki gani nzuri?

- Benk nzuri kwa mtazamo upi? Gharama za riba? Masharti nafuu? Urahisi na uharaka wa kupata mkopo? Funguka.
- Kiasi gani unahitaji? Kwa lengo gani? Una shughuli gani inayokuingizia kipato? Una dhamana ya mali isiyohamishika kama Nyumba, Shamba, Kiwanja au basi hata Gari?
 
Mtu mzima unauliza swali as if tupo kwenye pombe za kienyeji.


Jifunze kuunda swali lililo jitosheleza.
 
Equity bhana, ina mademu wakali wenye chura laini
 
Malizia swali

uzuri kwa riba na masharti yao..

Ukiiishia kusema nzuri Tutaanza kukwambia penye majengo mazuri
 
Back
Top Bottom