- Benk nzuri kwa mtazamo upi? Gharama za riba? Masharti nafuu? Urahisi na uharaka wa kupata mkopo? Funguka.
- Kiasi gani unahitaji? Kwa lengo gani? Una shughuli gani inayokuingizia kipato? Una dhamana ya mali isiyohamishika kama Nyumba, Shamba, Kiwanja au basi hata Gari?