Naomba ushauri

inawezekana kwa care umpazo kaamua kukuthaminisha na care apatazo toka kwa baba yake, or anategemea wewe kumzalia watoto, kuwa dady wa watoto wake!

Tatizo nini ndugu?mimi mwenyewe nimesaviwa daddy na dem wangu tena kwa miaka sita sasa.mimi si mind au sababu jina langu linaendana na la baba yake?ok mi si mind.

We kwishnei!!wenzio wana jaribu kukutia moyo lakini ndo kama hvyo tena 'daddy!
Yupo mkwe wako tayari subiri mahali tu mazee!ha ha ha...teh teh teh..,daddy!

hahahah usiwe unaishi kwa wasiwasi namna hio,ukikuta kitu kidogo tu unaconfirm suspicions zako...maisha hayaendi hivyo....

simu hizi zina mambo, na watu wanazidi kubuni mambinu ya kuwaibia wenzao

Kwa nini akusave Daddy? Mi nahisi kuna kitu anakuficha hapo. Ukitaka kujua ukweli mwambie jina unalotaka asave halafu uone inakuwaje?

Nauliza ,Je kuishi kwa hisia ni kitu kizuri katika mapenzi?

Kwa nini asingeuliza na kuujua ukweli?

Inaleta homa tena sana 2

kumbe wewe bado unang'ang'ania how ur name is saved kwa simu. Utapata shida kweli! Ukiwa serious na simu ya demu wako kila siku utaleta kilio gapa Jf. Cha msing take time kujua aina na tabia ya mpenz uliyenaye.

.....imebidi niandike tu sasa....bora wewe umeandikwa vizuri....me nishakuta nimeandikwa Prakatumba....

Mhhh mbona sioni tatizo kwani wew eulitaka upewe jina gani buzi au kinyonga au honey au kipapatio au sweet au kimeo

.....imebidi niandike tu sasa....bora wewe umeandikwa vizuri....me nishakuta nimeandikwa Prakatumba....

Hahaha mbavu sina dah bora niseviwe daddy bt hyo yako kali kaka

Nashukuru kwa ushauri ndugu

Unaweza ukawa kweli ukaibiwa au unaweza ukawa huibiwi. Hapo ni 50/50.

Lakini kukataa kuitwa daddy? Nakushangaa.

Halafu wewe majina yako mengine humu ni nani?

kuibiwa ibiwa je mzigo ukitaka unapewa?

Ulipomtongoza ulimweleza kuwa unataka kumuoa? au ulikuwa unahitaji mapenzi tu? hayo ni mambo yanayofanya watu wengi wajikute wako kwenye matatizo makubwa ya mapenzi maana mara nyingi hakuna uwazi na malengo. maelezo aliyokupa ni ya kiungwana hivyo utaamua kama ulitaka kuoa basi huyo ana mwenyewe kama ni mtu wa kutaka kujifurahisha utapima ilimradi ukweli umepewa.

Kuna rafiki yangu ana girlfriend wake,yeye kaseviwa kwa jina la jesca. Hii inatokana na baadhi ya wasichana kufuatiliwa kwa ukaribu na familia zao. Kwa hiyo inaweza ikawa njia moja au nyingine kwa watu kama hawa kuweza kudumisha mahusiano dhidi ya vitu kama hivyo.

Labda anakutegemea kwa kila kitu ndio maana anakuita hivyo.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…