Naomba ushauri..

Chabrosy

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,150
Habari wana jamvi, natumaini mko poa ni hivi jamani
Nimefanikiwa kuuza gari yangu aina ya Brevis kwa gharama ya Tsh 8M nikajishanga na mimi now nina kama 14M sasa hapa nachoice ya gari izi tatu BMW 3series 320i,Mark X aka mkasi na Crown mnanishauri nichukue hipi kati ya izi 3...

NB:Ubora na ukubwa wa injini uzingatiwe mana mm ni mpenzi wa gari ambayo injini yake iwe kubwa na strong mana nasafiri sana...
 
Kama uwezo wa maintainance ya. BmW upo chukua izo nyingne zitakupasua ktk safar ndfu though ktk displacement ya engine ningerikushauri uende kwa crown athletics 2gr 3500cc ile gari n jini kwa mwendo
 

So engine ikiwa kubwa ndio inakuwaje?
 
Usinunue gari litakupotezea muda tu, kwanini usinunue baiskeli au pikipiki yenye bei rahisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…