Sorry to say, Inaonekana wewe huna msimamo.Umetoa maelezo machache tu ila yametoa picha yako yote.Simamia kile ulichokwisha kiamua kama ulikiamua ukiwa una maanisha, hilo suala kwamba anakuja tena na kukuleta bla bla linatokana na uzembe wako mwenyewe.Unapata wapi muda wa kuzungumza nae tena masuala ya kimapenzi kama mlikwisha achana for good, acha kutoa majibu huku unacheka cheka.Unasema hutaki huku unangata vidole.We vp bwana.