Naomba ushauri

Rudi kwanza shule ujifunza kuandika halafu ndio mengine yatafuata.
 
Kigezo kikuu cha kupata mkopo ni kukubariwa na Chuo unachoomba, kwa GPA ya 3.0 inategemea na Chuo ukiondoa UDSM wanataka GPA ya 3.5, kwa hio vigezo unavyo omba mkopo ukishaapply Chuo
 
Kapige TIA(Tanzania institute of accountancy)
 
Mungu akusaidie sana kijana.
Misina zaidi ya hayo tu
 
Kigezo kikuu cha kupata mkopo ni kukubariwa na Chuo unachoomba, kwa GPA ya 3.0 inategemea na Chuo ukiondoa UDSM wanataka GPA ya 3.5, kwa hio vigezo unavyo omba mkopo ukishaapply Chuo
Kukubaliwa sio kubariwa ni llllll sio rrrrrrr
 
Samahani kwa jinsi nilivyo andika ila cha msingi ni maana ya nilichokiandika. Kwa njia moja ama nyingine wapo mwanafunzi wanaokosa ushauli kwa watu wanaowazunguka na wanakuja sehem kama hizi kuomba ushauli hivyo msiwakosoe bila kuwashauli
 
Kusoma Degree nadhani ni kuanzia GPA ya 3.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…