Mwambie huyo mu uwaji mana wanadhani mimba sio kiumbe, kuna watu wanaogopa kumua sisimizi wao wanaua binadamu.kama kweli wampenda nakushauri msitoe hiyo mimba.
ukipenda boga penda na ua lake.
Msiue kiumbe kisicho na hatia kwa tamaa zenu.
OTIS
Mwambie huyo mu uwaji mana wanadhani mimba sio kiumbe, kuna watu wanaogopa kumua sisimizi wao wanaua binadamu.
Kweli kabisa sijui wamepewa roho gani hao, yani wao kutoa mimba wanadhani ni kitu cha kawaida tu, hawajui kama yule kiumbe ataenda wadai roho yao kule mbele ya safari...wamesahau kama safari sio kifo watafika tu, kule tunapo enda.Wajua kuna watu huwa wanakuja na mawazo ya ajabu sana.
Kuna raia wana roho za kikatili sana
OTIS
kuna mdada mmoja nimetokea kumpenda tena sana ila ana mimba ya miezi 5 co yangu nimemkuta nayo.kwao ni moro nami niko dar maisha yake ni magumu sana kwani anamtegemea mama yake kwa kila kitu na ina tokea muda mwingine anakosa mlo wa cku,tatizo anataka nimpatie hela atoe hiyo mimba ila uwezo wa kumpatia hela sina,sasa anataka atumie njia ya kienyeji kuitoa na kwa sasa nikimpigia cm hapokei.nifanye nn wana jf[/QUO we,kama unampend mshauli mimba hasitoe.maana nidhambi.pia mpeukweli k.m utampend na mtoto pia...
mimba miezi mitano mtoto ameshaanza kucheza tumboni, kama ameweza kuvumilia miezi hiyo mitano huyo dada anashindwa nini kuvumilia miezi minne iliyobaki.kuna mdada mmoja nimetokea kumpenda tena sana ila ana mimba ya miezi 5 co yangu nimemkuta nayo.kwao ni moro nami niko dar maisha yake ni magumu sana kwani anamtegemea mama yake kwa kila kitu na ina tokea muda mwingine anakosa mlo wa cku,tatizo anataka nimpatie hela atoe hiyo mimba ila uwezo wa kumpatia hela sina,sasa anataka atumie njia ya kienyeji kuitoa na kwa sasa nikimpigia cm hapokei.nifanye nn wana jf
viatu vyake mbona vinavalika tu, kama maisha ni magumu basi wakijijini wangekuwa hawazai mana wale wanamaisha magumu zaidi ndo mana wanakimbilia mjini. ina maana wanaozaa ni wenye uwezo tu wa kulea, ukiwa unajua kuua ni vibaya basi ugumu wa maisha siyo kigezo cha kutoa mimba. ningemwelewa endapo angesema mimba imetungwa nje ya kizazi na doctor kasema no way out lazima itolewe hapo sawa otherwise simwelewi mtu anayetoa mimba kwa sababu nyinginezo na mtu kama huyo uwa namfananisha na jambazi anayevamia nyumba na lengo lake ni roho ya mtu tu(kuua).Kabla hujamhukumu kwamba ana roho mbaya kwa wazo lake la kutoa hiyo mimba hebu vaa viatu vyake, msimuliaji anasema huyo binti ana maisha magumu sana, hujui hiyo mimba kama itaendelea kuwa tulivu au kutakuwa na complications na itahitajika fedha.
Naomba kufahamishwa kipi bora kutoa mimba au kuzaa na kumtupa mtoto, au kuzaa kumlea mtoto katika mazingira hatarishi na mwishowe mtoto awe mtoto wa mitaani.
KWA MTIZAMO WANGU KWA SASA NI HATARI ZAIDI KUITOA HIYO MIMBA KWA SABABU IMESHAKUWA KUBWA, ANAHITAJI USHAURI WA KARIBU NA USHIRIKIANO ILI ASIJE WAZA VINGINEVYO(KUZAA NA KUTUPA N.K)