Naomba ushauri

Mama Bhoke

Member
Joined
May 4, 2012
Posts
40
Reaction score
6
Mwenzenu yamenikuta,house girl ame test urine 4 pregnancy nimetoka kazini ananiuliza ikiwa hivi majibu ni nini.Kuangalia majibu yenyewe positive kuonyesha kuwa ana mimba.
Kumbana amtaje aliemuwezesha hataki.
Ikanilazimu nijifanye upande wake nataka kumsaidia ila lengo kuu ni kumjua mhusika,nimefanya tafiti nimegundua hata tukienda kazini huwa hatoki wala hakuna mtu anaeingia ndani.Nimemwambia mpigie simu mhusika umwambie kuhusu hiyo mimba,nimerudi kazini nimepekua sim nimekuta namba iliyopagwa ni ya baba mwenye nyumba.Nilidhani ukisafishiwa chumba na kutandikiwa kitanda ndio kunakuwa na usaliti kumbe laa.Nikitoka kazini nafanya kazi za nyumbani kama kawaida lakini mwenzangu bado amenigeuka naomba ushauri jf.
 
pole sana mwanajamii navyo hona hapo mfate baba mwenye nyumba mwambie issue nzima alafu msikilize na huyo mfanyakaz wako muondoee hapo kwako maana hutakiwi kulipa baya wewe fanya jema muombee mungu hakuna njia nyingine ndio ishakuwa hvyo tayarkwa upande wangu ndio hayo tu pole sana.
 
 
unaposema baba mwenye nyumba una maanisha Baba Bhoke au mzee mwenye nyumba ulipopanga? naona km post yako haina maelezo ainifu juu ya hilo
 
unaposema baba mwenye nyumba una maanisha Baba Bhoke au mzee mwenye nyumba ulipopanga? naona km post yako haina maelezo ainifu juu ya hilo

Inaelekea ni landlord.Amuozeshe tu kwa huyo mzee.
 
Inaelekea ni landlord.Amuozeshe tu kwa huyo mzee.

Kama ni landlord lazima hilo jukumu abebeshwe maana Mama Bhoke wewe ndio mwenye dhamana na huyo binti yako wa kazi kimsingi wewe ndiye mlezi wake, kama ulimtoa kwao basi wazazi wake walikuamini wewe na ukakabidhiwa mwana wao.
 
Bishanga kwanini unasema ni landloard ili hali kasema alijua kutandikiwa na kufuliwa ndiko kunakomkaribisha shetani kumbe hapana, kamgeuka? au hujaelewa? soma vizuri hapo juu
 
Last edited by a moderator:
. Nilidhani ukisafishiwa chumba na kutandikiwa kitanda ndio kunakuwa na usaliti kumbe laa.Nikitoka kazini nafanya kazi za nyumbani kama kawaida lakini mwenzangu bado amenigeuka naomba ushauri jf.

maelezo yako wazi kwamba mumewe ndiyo kamsaliti
 
 
hakuna mjadala mwamshe kesho saa tisa afunge mizigo yake huku ukimsimamia, saa kumi na moja asubuhi mpandishe bus arudi kwao.

Rudi nyumbani dili na mumeo....

Kama kuna shamba boy jipoozee nae loh.....(joke)


kabla hamjaweka wasichana wa kazi majumbani chunguzeni tabia za waume zenu....kama macho juu juu hawachagui hawabagui, na hawadhamini ndoa zao... Muajiri vijana wa kiume kwa kazi za usafi ukizingatia ni wapishi wazuri tu kushinda wanawake....



Ila kama mimba ya baba mwenye nyumba yako, chukua simu kama kidhibiti, fungasheni mizigo ya huyo binti then mumpeleke kwa baba mwenye nyumba, amtunze na kumuoa......akikataa husisheni ustawi wa jamii
 
Pole sana kwa mkasa uliokupata.
Hapo muondoe tu huyo kwa kumrudisha kwao.
 
 
house girl anajiandaa kuwa nyumba kubwa hapo... shtuka!
 
 
ukimfukuza huyo msichana nitaamini kweli 'wanawake makatili' na ma 'selfish sana'

angekuwa ni binti wa ndugu yako je??
binti yako?
au mdogo wako wa damu?

mumeo ni 'bazazi' full stop
tena ni 'mtu hatarishi' kwani hatumii hata kinga
sasa jiulize na huko nje 'anawapitia wangapi'?

ningekuona wa maana mno kama ungem 'dirvoce mumeo' na kumsaidia huyo binti wa watu
ambae probably 'amebakwa' na mumeo bazazi....
 

the boss, kama housegirl alibakwa kwa nini asingemwambia mama mwenye nyumba? Kwa nini atume msg ya kuomba msamaha?

Ukiachilia mbali ubazazi wa mume, unajua mahousegirl wa siku hizi wanatime hizo golden chance za kulala na fazahausi? Wakiamini watachukua nafasi ya mke?
Sasa ukikuta mume kicheche matokeo yake ndo hayo.....

Hapo mume na hg wote wana makosa.....

Walllahi wanaume wengine balaa, unaweza kuwakata naniliu hivi hivi.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…