Naomba ushauri

Amosk

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
50
Reaction score
8
Jamani naombeni ushauri na mawazo. Tatizo langu naweza nika maliza siku 2 bila ya kwenda haja kubwa, cha ajabu naweza nikawa najisikia kabisa kwenda kujisaidi lakini nikifika msalani naishia kupumua au kujisaidia haja kidogo, sijui tatizo nn naombeni ushauri jaman hii hali inanitisha sn. (Anaye fahamu dawa nitashukulu)
 
Nawakaribisha kwa ajiri ya msaada
 
Tumia sana papai kabla ya chakula inshaallha utaona madiliko
 
Asante kwa ushauri wako@Starn
 
Nashukuru nalifanyia kazi@Isaac
 
Nitafanya hivyo kuanzia kesho, nakushukuru sana@Kitoabu
 
Unakula vizuri? Na unapenda kula vyakula gani? Unapojisaidia baada ya hizo siku mbili choo inakuwaje? Kigumu au laini?
pendelea kula mboga za majani namatunda kwa wingi.
 
Nenda mtaa wa Tandamti Karikoo uwaambia akina mama yoyoo watakupa dawa ya kuzibua tumbo, Onyo: Usizidishe kipimo maana utaharisha hadi utafute dawa ya kufunga tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…