Naomba ushauri

Escoba

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
75
Reaction score
18
Kuna mwalimu nafundisha nae wa kiume anaitwa ( ) tunafundisha shule ya msingi () ipo Tarime , Mara. Alinitongoza nkamkataa, juzi boyfriend angu alipiga simu yeye akapokea , simu ilikua kwa chaji kwa mwalimu mwenzangu, akaanza kujibizana na boyfriend angu akamwambia eti yeye ( ) ndo ananichukua kwa sasa. Alichkua pia namba ya boyfriend angu akawa anampigia simu na anatuma text kwake kwamba mi nam cheat. Sasa hv nipo dar na boyfriend angu ananitumia msg et kwann cpokea simu ake pia katuma text kwa bf angu anamwambia niwashe simu. hivi mtu kama huyu nimfanyanyaje ? naomba ushauri hata wa kisheria . Juzi nilimwambia mwalimu mkuu tukamwekea kikao akamuonya na yeye akasema hatonisumbua sasa naona anaendelea mi nikiwa na bf. ushauri pls
 
We nae si uolewe? boyfriend ndio mdudu gani...olewa nae sasa huyo boyfriend wako,mke wa mtu huheshimiwa....

Kusumbuliwa ni kitu cha kawaida kwa mwanamke....Vumilia tu...

Halafu,hivi una miaka mingapi vilee??

'The Magnificient 'its better to remain silent and be thought a fool than to speak out and remove a doubt , nway yo're a little silly cowboy.
 
ukitongozwa unautangazia umma? we ni mtoto,mjinga au mpumbavu? kama hata hao watoto wa shule ya msingi huwezi kuwa mfano bora kwao ni bora ukakae nyumbani huo ualimu haukufai hata kidogo. ana ungekuwa mzuri je unatongozwa na kila mti ingekuwaje?
jiheshimu we binti,huyo unayemuita boyfriend wako atakuwa kilaza kama wewe
 
'The Magnificient 'its better to remain silent and be thought a fool than to speak out and remove a doubt , nway yo're a little silly cowboy.

Ona sasa...

Ndio maana nimekuuliza ..."Hivi una miaka mingapi vilee??"

cc
ray05
 
age doesnt matter, thats y I said keep ur head down

Ili nisiendelee kujidhalilisha...ngoja nikupotezee mama

Unapokuja kuomba hushauri hapa JF,tambua wazi hapa sio kama kule facebook....huku watu wengi ni ma GT!

Vilevile,unapoomba ushauri,usitake kushauriwa usitake kushauriwa unavyotaka wewe,inapoteza maana sasa ya ushauri

Halafu,nilipokuuliza age yako sikumaanisha wewe ni mdogo/mkubwa,hapana...ila naona ulichokiandika kipo "too narrow-

Minded"

Kwa faida yako sasa,Kila mtu anayetongozwa angekuwa anakuja kutuhadithia hapa......Threads zote humu jamvini zingeku

wa za mapenzi tu!!

Mwisho,Kila la heri mama,msalimie Bf wako...

CC gfsonwin njoo mshauri mdogo wako huku dada yangu...
 
Last edited by a moderator:
Kuna sababu nying sana za wanafunzi kufeli.kama walimu wao wenyewe ndio hawa wanaotongozana ovyo na kufanya ngono zembe kama huyu mleta mada,unategemea kuna kitu hapo wanachofundishwa?
 
'The Magnificient 'its better to remain silent and be thought a fool than to speak out and remove a doubt , nway yo're a little silly cowboy.

Umeamua kuandika kiingereza sasa hiv ukidhani utaonekana mkubwa? wewe hujielewi,mtu kama anakusumbua mwambie ukweli na kama hataki kwanini usimchukulie hatua? na huyo boyfriend wako ni mwanaume gani anapigiwa simu saa tisa usiku na hajui la kufanya hadi wewe uje umsaidie kusema kwenye media? Preta scorpion girl Blue G Evelyn Salt, Passion Lady,etc njooni muone mwenzenu analia kisa anatongozwa.
 
Last edited by a moderator:
Kuna sababu nying sana za wanafunzi kufeli.kama walimu wao wenyewe ndio hawa wanaotongozana ovyo na kufanya ngono zembe kama huyu mleta mada,unategemea kuna kitu hapo wanachofundishwa?
ukiwakuta kwenye ofisi zao utawasikia kazi na dawa bwana!!!mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake!!
 
we c umesema huchangii tena hii mada sasa mbona umerudi, ushauri ako haufai kaa kimya
 
Last edited by a moderator:
ukiwakuta kwenye ofisi zao utawasikia kazi na dawa bwana!!!mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake!!

ndo maana hata serikali haitaki kuwaongezea mishahara yao kwa upuuzi kama huu wanaofanya!
 
mhhh!kwako dada Escoba
kwani mtu akikutongoza ukamtolea
ukaendelea kumkataa atakulazimisha?
we mueleweshe bf wako awe anapotezea
calls za huyo ticha mwenzio,na wewe baki na huo
msimamo wako!ni easy sana mbona coz hakuna
anaelazimisha mapenzi dunia hii! Ray5 niendelee?

Last edited by a moderator:
ndo maana hata serikali haitaki kuwaongezea mishahara yao kwa upuuzi kama huu wanaofanya!
eti kutongozwa tu mbio hadi kwa mwalimu mkuu,ameona hiyo haitoshi amebebana hadi huku jf,sasa ni nini anaweza kufanya kwa maamzi yake mwenyewe!!ningekuwa mimi ndiye mwalimu mkuu wake na mimi ningemuomba!
 
leo nahisi hujaamkia
upande mzuri,umekua mkali sana!
punguza hasira!
 
eti kutongozwa tu mbio hadi kwa mwalimu mkuu,ameona hiyo haitoshi amebebana hadi huku jf,sasa ni nini anaweza kufanya kwa maamzi yake mwenyewe!!ningekuwa mimi ndiye mwalimu mkuu wake na mimi ningemuomba!
msamehe bure ye alijua
atapata ushauri wa nini afanye pls!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…