mwita mohere
Member
- Mar 15, 2013
- 23
- 1
naomba ushauri kiukweli tangu nkiwa mdogo form three(2006) ilitokea nkapenda san kufanya kazi benk ikanilalim kuanza ksoma masomo ya biashara(HGE) nkafaulu hiyo kombi nkaso A level ndipo ankafaulu fuculty ya kwnza banking and finance bachelor chuo cha ifm dar baada ya kufika chuo nkataman pia nifanye master ya uchumi na haraka sana PhD ya uchumi naviwaza sana hivo vitu na bado tena napenda sana kufanya kazi benk sasa nko kwenye dilema ukifanya kaz benk hpati mda kwenda kusoma cjui nifanye lip niache lipi afu nfanye niendelee kusoma nfikie malengo yangu sina hela na hata pia natokea familia maskin nzuri zaid mungu huniongoza kila stage nayopita napaform vizuri hata sasa nategemea ktka na upper second toen ushauri wenu kumbuka vitu malengo yate nayapenda 50%to50%