Naomba ushauri

mwita mohere

Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
23
Reaction score
1
naomba ushauri kiukweli tangu nkiwa mdogo form three(2006) ilitokea nkapenda san kufanya kazi benk ikanilalim kuanza ksoma masomo ya biashara(HGE) nkafaulu hiyo kombi nkaso A level ndipo ankafaulu fuculty ya kwnza banking and finance bachelor chuo cha ifm dar baada ya kufika chuo nkataman pia nifanye master ya uchumi na haraka sana PhD ya uchumi naviwaza sana hivo vitu na bado tena napenda sana kufanya kazi benk sasa nko kwenye dilema ukifanya kaz benk hpati mda kwenda kusoma cjui nifanye lip niache lipi afu nfanye niendelee kusoma nfikie malengo yangu sina hela na hata pia natokea familia maskin nzuri zaid mungu huniongoza kila stage nayopita napaform vizuri hata sasa nategemea ktka na upper second toen ushauri wenu kumbuka vitu malengo yate nayapenda 50%to50%
 
Kwa mawazo yangu finyu nakushauri ukimaliza ufanye kazi miaka 2 uimarishe uchumi then utafute scholarship na grant uende mbele kupiga hizo mishe.Kama utakuwa umekwisha jijenga utapiga chini job na kuendelea na masters hapa hapa bongo.Tahadhari: Pindi utakapoamua kuacha kazi na kwenda kusoma uhakikishe una kitega uchumi ili kikusaidie saidie.
 
tata mwita, kana nke obhae, mbona malengo ya pupa namna hiyo rafiki yangu? mi mwenyewe pamoja na kuwaza masters ya port operations lakini naenda mdogo mdogo!
kumbuka roma haikujengwa kwa mwaka mmoja!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…