naomba ushauri

naomba ushauri

Joined
May 9, 2013
Posts
12
Reaction score
0
naombeni ushauri wenu Nina credit nne za civic, history, geography, na kiswahili...
je ni kozi gani nikisoma itaendana na hayo masomo coz nimeshindwa kwenda form v
 
una dvn 4 nn pamoja na credit zakoo! Ila sio kesi kama ulikuwa mchepuo wa science na una D ya bios na kemia nenda kasome certfcte in either nursing, assistant clinical offcr....! au kma ulikuwa arts kasome certfcate in public adminstration mtwara(chuo cha utumishi wa umma)
 
sawa ila mm nilimaliza kidato cha 4 na nilipata credit 2 nikarudia tena nikapata 2...
 
Kwanini umeshindwa kwenda Form 5? Ufafanuzi ili uweze kusaidiwa zaidi.
 
Back
Top Bottom