Naomba ushauri

Naomba ushauri

myasis

Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
80
Reaction score
29
Huwa napata sana ndoto nyevu(wet dreamz) tena wakati wa asubh ninapokaribia kuamka, sasa inakuwa hata kwa wiki mara 3. Naomba kujua kuna madhara yoyote ya kiafya ambayo ninayo au yanayoweza kujitokeza kwa hilo?
 
Kwa uelewa wangu mdogo ndoto nyevu sio ugonjwa na hakuna siku kamili za kuota kwahiyo hakuna madhara
 
Huwa napata sana ndoto nyevu(wet dreamz) tena wakati wa asubh ninapokaribia kuamka, sasa inakuwa hata kwa wiki mara 3. Naomba kujua kuna madhara yoyote ya kiafya ambayo ninayo au yanayoweza kujitokeza kwa hilo?
Hakuna madhara, unapitia ubarubaru
 
Mtu mwenye mishipa ya uume iliyolegea inaweza kuimarishwa kwa dawa au njia gn!
 
Back
Top Bottom