Kwa uelewa wangu mdogo ndoto nyevu sio ugonjwa na hakuna siku kamili za kuota kwahiyo hakuna madhara
Hakuna madhara, unapitia ubarubaruHuwa napata sana ndoto nyevu(wet dreamz) tena wakati wa asubh ninapokaribia kuamka, sasa inakuwa hata kwa wiki mara 3. Naomba kujua kuna madhara yoyote ya kiafya ambayo ninayo au yanayoweza kujitokeza kwa hilo?