Naomba ushauri

Naomba ushauri

jamzai

Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
67
Reaction score
55
Niliomba vyuo mbalimbali kusoma diploma ya education. Nimepata vyuo viwil mount meru university(dip in educ) na institute of adult education
(dip in adult and continuing educ) ipi nzuri zaid?
 
Niliomba vyuo mbalimbali kusoma diploma ya education. Nimepata vyuo viwil mount meru university(dip in educ) na institute of adult education
(dip in adult and continuing educ) ipi nzuri zaid?

Soma dip in ed. Hiyo nyingine itakusumbua kupata ajira inawafaa walimu walio kazini.
 
Soma dip in ed. Hiyo nyingine itakusumbua kupata ajira inawafaa walimu walio kazini.
asante kwa ushauri hata hivyo mim npo kazin kinachonichanganya sijajua hii ya adult itanipandisha kazin maana huku kwenye idara zetu(elimu) hakueleweki!
 
kasome dip in ed. tanzania bado inabeza vyeti vya specialization. watakataa kukubadilishia muundo kama wanavowasumbua walosoma elimu maalum
 
Back
Top Bottom