Niliomba vyuo mbalimbali kusoma diploma ya education. Nimepata vyuo viwil mount meru university(dip in educ) na institute of adult education
(dip in adult and continuing educ) ipi nzuri zaid?
asante kwa ushauri hata hivyo mim npo kazin kinachonichanganya sijajua hii ya adult itanipandisha kazin maana huku kwenye idara zetu(elimu) hakueleweki!Soma dip in ed. Hiyo nyingine itakusumbua kupata ajira inawafaa walimu walio kazini.
Asante sna mkuukasome dip in ed. tanzania bado inabeza vyeti vya specialization. watakataa kukubadilishia muundo kama wanavowasumbua walosoma elimu maalum