Naomba ushauri

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
302
Reaction score
292
Je kupungua kwa homoni ya Gonadotropin kunaweza kusababisha mwanamke asipate mimba? ! Rafiki yangu amekaa na mke wake zaidi ya miezi 5 bila kupata mtoto baada ya kwenda kupima wote wawili dkt akasema kwamba mwanamke anaupungufu wa hiyo homoni!! Je hili tatizo linaweza kutibika? Msaada kwa kiswahili plz wadau
 

Amekaa na mke miezi 5 au miaka mitano....Gonadotropin inafanya kazi ya kuamsha ovary kuzalisha mayai....sayansi imekuwa kwa kiwango kikubwa.....kuna uwezekano wa hilo tatizo kutibiwa kwa kusupliment hiyo gonadotropin......kama aliwasiliana na gynacologist nadhani atakuwa ashapata maelekezo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…