Hongera mkuu,hako kadume hako,tuwasubili wajuzi watujuze...
sio tatizo na inawezekana ni hewa tu kwasababu wajawazito wanakuwa na muongezeko wa gesi kwenye tumbo...
asante, ila hiyo hewa mtikisiko wa tumbo unaweza kuendelea hata mtu anapozuia pumzi?
sio tatizo na inawezekana ni hewa tu kwasababu wajawazito wanakuwa na muongezeko wa gesi kwenye tumbo...
Habari zenu wapendwa, naombeni ushauri wa hii hali nilonayo, nna ujauzito wa miezi mitatu na nusu ila nahisi kama kiumbe kinacheza tumboni na mtikisiko wa tumbo huonekana hata kwa kuangalia tumbo tu, je hakuna tatizo maana nasikia mapigo huanza kusikika katika wiki ya 18 hadi 20 kwa mimba ya kwanza mbona kwangu mimi imeanza mapema?

Hamna Hakuna kucheza hapo,, umemess up tu.....