Lio 002 JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 436 Reaction score 68 Jun 20, 2014 #1 Mm nimuhitimu wa diploma ya masoko na mauzo ( marketing mangement) nimenaliza hii leo nilikuwa naomba mnishauri kwa hii miezi mitatu nisome short course gani ambayo ni nzuri?
Mm nimuhitimu wa diploma ya masoko na mauzo ( marketing mangement) nimenaliza hii leo nilikuwa naomba mnishauri kwa hii miezi mitatu nisome short course gani ambayo ni nzuri?