Naomba ushauri

BOFREE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
1,048
Reaction score
1,424
tafathali naomba ushauri. Nataka nisome Open university degree ya education kwa kua sina uwezo wa kusoma vyuo vingine kwani sina pesa za kutosha lakini hofu niliyo nayo ni ya ajira ,nataka nijue kama wanaomaliza open university huwa wanapatiwa ajira na wizara ya elimu mojakwamoja kama wahitim wa vyuo vingne au kuna taratibu zingne zinafuatwa ili uwezo kupata ajira
 
Wewe soma kwanza upate elimu. Kazi utapata kutokana na ufaulu na ujuzi utakaojiri kutoka chuo. Mambo ya kupangiwa kazi na serikali ni ziada. Ndio wanapangiwa
 
kwa hiyo sera ya serikali kutoa ajira moja kwa moja kwa graduate wa edctn utafanya nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…