Naomba ushauri


no comment mkuu otherws tutaendelea kuelimisha tu bila kupata majibu
 
ongea na mkeo kinachukusibu, na mkeo anatakiwa kukupa ushirikiano, badilisha mazingira ya kudu, na mwisho jiamini, ondoa hofu.
 

Thanx JS!! Nice advice!! Nashukuru sana!
 
Skiliza wewe acha uboya.kula vizuri,fanya mazoezi punguza mawazo then siku ya game jiandae mapema physically na saikolojically na sio unaenda ovyoovyo ka kuku.ni hayo tu.unisamehe.
 
ongea na mkeo kinachukusibu, na mkeo anatakiwa kukupa ushirikiano, badilisha mazingira ya kudu, na mwisho jiamini, ondoa hofu.
Thanx Ikunda, naomba kama there is a way naweza kuitumia ili niweze kuiondoa hofu niliyonayo moyoni!! Naomba unisaidie!!
 
Skiliza wewe acha uboya.kula vizuri,fanya mazoezi punguza mawazo then siku ya game jiandae mapema physically na saikolojically na sio unaenda ovyoovyo ka kuku.ni hayo tu.unisamehe.

Usijali Kimichio!, Nashukuru kwa ushauri.
 
Zugumza na mwenzio. Ushauri huu umetolewa kwa hisani ya watu wa Marekani
 
Duh, mkubwa pole sana kwa hofu ulonayo, dont worry, wewe uko fit ila huwa inatokea sometime. Mimi mwenyewe nishawahi kukumbwa na hilo tatizo siku moja, aisee! nilishangaa sana na kuogopa mno kwani nilikuwa nisshazoea kupiga mashine hadi raundi 5-6. Lakini siku moja nilishangaa napiga yaani eti kamoja tu, hafu mashine ikasizi kabisa.
Nilikaa siku mbili bilabila, siku ya tatu, nilipiga bao nyingi kiasi kwamba tatu za kwanza zilifuatana bila kuteremka, mpaka mke wangu akadai unataka kunikomoa au? Mbona hili leo balaa? Hivo basi, wewe kusanya nguvu, huna tatizo.
 
Vunja UKIMYA MSHIRIKISHE MWENZIO NAE AWE MCHEZONI, ATAKUSAIDIA SANA KUKURUDISHA KWENYE HALI YAKO YA KAWAIDA
 
Ex mimi naona hili jambo lisikusumbue, mimi tatizo naona ni pale kama mke wako umridhishi. Unaweza kupiga bao moja na wote mridhike si lazima utafute mabao mawili. Fanyeni bao hilo moja na wote mfikie kilele alafu pumzikeni hadi asubuhi fanya la pili. Mkishaoana huna haja ya kung'ang'ania kupiga mabao mengi, moja linatosha. Hiyo hali itakwisha tu taratibu, alafu ukumbuke mna mtoto hiyo majukumu yanaongezeka na sex inahitaji settled mind ukiwa na mawazo kidogo inakuwa vigumu.
 
mmh ya wakubwa aya...i beta niende nkacheze rede nje wakimaliza ntakuja!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…