Naomba ushauri

MrIsidori

Senior Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
191
Reaction score
83
Jamaa yangu ana ugonjwa wa sukari, bp na moyo umekuwa mkubwa, ni vyakula gani anatakiwa ale na ni vipi hatakiwi ale?
 
Ale vyakula vyenye wanga kidogo,Aoshe mchele kama mara 4 hivi kuhakikisha wanga unapungua ndipo apike.Aidha atumie ugali wa dona badala ya sembe.Wataalamu husema kuwa sembe iba wanga mwingi na ulaji wa dona sio kwa mgonjwa tu tujenge mazoea ya kuandaa mahindi vizuri kwa usafi na kusaga dona.Kuna kasumba ya ulaji wa sembe kwenye jamii yetu iachwe si staili nzuri ya maisha.Ale mboga za majani kwa wingi na ulaji wake wa chakula uwe wa frequently ili asisikie nja ila asishindilie tumbo sana.Asitumie chai sukari ya kiwandani si nzuri.Anaweza kunywa maziwa fresh yasiyo na sukari.Mpe pole.Wengine wanakuja wataeleza zaidi.Aondoe hofu ni ugonjwa tu kama magonjwa mengine Jioni njema .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…