ZAWADI2514
New Member
- Oct 20, 2014
- 3
- 0
Habari,
Nimeagiza zana za kilimo nje (trekta) kwa yeyote ambaye amewahi agiza trekta au anafahamu taratibu za kuitoa bandarini aniambie ikiwa ni pamoja na ushuru wa bandari na gharama zozote zinazohusu trekta.
Asante