Z ZAWADI2514 New Member Joined Oct 20, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Oct 23, 2014 #1 Habari, Nimeagiza zana za kilimo nje (trekta) kwa yeyote ambaye amewahi agiza trekta au anafahamu taratibu za kuitoa bandarini aniambie ikiwa ni pamoja na ushuru wa bandari na gharama zozote zinazohusu trekta. Asante
Habari, Nimeagiza zana za kilimo nje (trekta) kwa yeyote ambaye amewahi agiza trekta au anafahamu taratibu za kuitoa bandarini aniambie ikiwa ni pamoja na ushuru wa bandari na gharama zozote zinazohusu trekta. Asante
C Casuist JF-Expert Member Joined Jul 23, 2014 Posts 1,189 Reaction score 2,970 Oct 23, 2014 #2 jubilant kuna mtu anakuhitaji hapa mkuu