Hiyo ni anti-acids, bila shaka una tatizo la vidonda vya tumbo.
Kazi yake ni ku-neutralize acid tumboni .
Kwa kifupi haishairiwi kuchanganya dawa na pombe.
Na hiyo dawa ni ya kutumia muda mrefu.
Sikushauri uchanganye dawa yoyote na pombe, kuna kitu kinaitwa Disulfiram like reaction ikikupata ni mbaya.