Naomba ushauri

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 26 nina gal wangu ambaye niko naye kwa muda wa miaka miwili but tumeanza kusex nae mwaka huu mwezi wa kwanza.

Tatizo lake ni kwamba since nimtoee bikra yake yani amekua akilalamika kuwa anasikia maumivu makali sana pindi tuwapo faragha na chakushangaza hii situation inajitokeza awamu kwa awamu yani twaweza duu wiki hii ikajitokeza but next week isijitokeze.sasa kiukweli mm ile hali inanifanya nidifurahiee kabisa tendo.

Naombeni ushauri wakuu
 
Mwambie atafute ushauri kwa watu wenye hekima hasa wanawake. Ikishindikana akawaone wataalam wa masuala husika.
 
anataka ukapeleke mahari kwao
 
Muache Mume wake mtarajiwa atakuja kulimaliza hilo tatizo lake.
 
Anaumwa Kweli Au anadekaaa? Ana Miaka mingapi huyo bint ?wewe ndio mwanamke wako wa kwanza ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…