Naomba ushauri

Naomba ushauri

dada dori

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
233
Reaction score
93
Habari!
Ninaomba ushauri je masters gani nikisoma itaniwezesha kujiajiri na kuajiriwa.Msaada wenu ni muhimu na Mungu awabariki,nina B.A.Education.
Asanteni!
 
Habari!
Ninaomba ushauri je masters gani nikisoma itaniwezesha kujiajiri na kuajiriwa.Msaada wenu ni muhimu na Mungu awabariki,nina B.A.Education.
Asanteni!

Kwanza hongera kua na fikra chanya,Soma MBA! Mimi nilikua na masomo kama yako na sasa nimejiajiri na maisha yamebadilika sana.
 
Back
Top Bottom