Habari wana JF Mini ni mjasiriamali nilianzisha shule na kufanikiwa kuyisajili BRELA na MoVET kwa sasa ina walimu 5 na watoto 100 kuanzia awali hadi la 5 shule ina eneo la acres 6 inje ya mpaka wa mji kawa mita 200 tu panapitika mwaka mzima . Kutokana na kua inje ya eneo la mji pamoja na kua na hati miliki na kulipia kodi kila mwaka sikufanikiwa kupata bank inayoweza kunikopesha gari au fedha tangu nianze pamoja nakua mteja wa NMB .nayo imeleta longolongo nyingi Hivo Nahitaji kupata gari la kubeba watoto. Je kuna kampun