shule iko wapi?
sio lazima hadi uwe na gari ya kumiliki mwenyewe.
Nakushauri utafute haya macosta muelewane bei asubuhi yawe yanaleta wanafunzi halafu ndio yaendelee na ruti zao. Huwa naona mbezi kuna macosta na madsm yanafanya hivyo.
Nafikiri itakusaidia kupunguza gharama za services.
Hongera kwa kuwekeza.
sasa unataka kampuni ya kubeba watoto au kampuni ya kukupatia gari?
big up kwa huo uwekezaji tena wa kunoa akili za watu. Kuna benk inaitwa access bank, siyo lazima uwe mteja, cha muhimu ni hizo assets zako na uwezekano wa wewe kulipa deni baada ya kufanyiwa assessment. U may also try azania bank, huwa wanatoa loan. Nmb mara nyingi huwa n wazushi kiasi. Pole kama hizo benk hazina branches huko
usife moyo mkuu, mwanzo mgumu lakini komaa tu na kumuomba mungu naamini utapata suluhisho la tatizo hilo muda si mrefu.
unahitaji kubeba wanafunzi wangapi kwa kutwa,je umbali gani unatarajia gari litatembea kwa kutwa.kuna uwezekano wa kufanya makubaliano na mtu mwenye daladala mkakubaliana akakupa gari,kwa kukodisha ila mafuta unaweka wewe pamoja na service ndogondogo,
2.NMB huwa hawatoi mikopo ya magari.wanatoa mikopo ya bishara e.g upanuzi wa biashara,machine etc.unachoweza kufanya ni ku-redesing bizness plan yako,alafu unachota kiasi kwa ajili ya kununua usafiri huo wa watoto.
kwa siku 50 km na 76 wanahitaji huduma hiyo kwa malipo ya 20000 tshs pia hiyo ya kubadili bzness plan nitajaribu asante kwa ushauri
kuna minibus 24 seats nadhani itakufaa ipo dar,you can out source the service.ni pm kwa majadiliano zaidi