GARETHBALE
Member
- Dec 22, 2013
- 76
- 333
Salam kwa wote,
Wapendwa, nina wazo la kumiliki duka la jumla la vyakula DSM, naomba mwenye uzoefu wa biashara hii, naomba kufahamu vifuatavyo:
Aina ya vyakula vya kuanza navyo na vinahitajika kiasi gani?
Je, biashara hii ina faida nzuri?
Je, biashara hii ina changamoto gani?
Jinsi ya kufanya mahesabu yake, ni kwa namna gani?
Napenda hii biashara ijiendeshe yenyewe, namaanisha nikishaweka vyakula husika, faida iwe inaongeza bidhaa ndani ya duka.
Natanguliza shukrani