Naomba ushauriwa postgraduate

Joined
Apr 30, 2013
Posts
93
Reaction score
19
Mimi ni mwanafunzi wa diploma kuna tetesi nimesikia kwamba ukimaliza diploma kuna uwezakano wa kusoma postgraduate bila kusoma bachelor degree kama umefaulu vizuri.Naombeni mnipe information vizuri
 
Sasa hapo ushauri au information...... by the way I don't know
 
Mimi ni mwanafunzi wa diploma kuna tetesi nimesikia kwamba ukimaliza diploma kuna uwezakano wa kusoma postgraduate bila kusoma bachelor degree kama umefaulu vizuri.Naombeni mnipe information vizuri

division 5 wewe..!

ushaurii ama unaulizaa?

by the way hio haipo ....!
 
Zakuambiwa changanya na zako.
 
ungeandika tetesi/fununu nasiyo ulichoandika
 
Wanaoweza kusoma Postgraduate ni wale walio na Advance diploma ama bachelor degree ambazo wangetaka kusomea master kwenye jambo lingine ambalo undergraduate degree yake siyo surpotive, kwa lungha nyingine ni kwamba postgraduate ni kama clutch unit ya kuswitch course moja kwenda nyingine!
 
Mimi ni mwanafunzi wa diploma kuna tetesi nimesikia kwamba ukimaliza diploma kuna uwezakano wa kusoma postgraduate bila kusoma bachelor degree kama umefaulu vizuri.Naombeni mnipe information vizuri

Haiwezekani labda ungekuwa na ADVANCED DIPLOMA
 
Mimi ni mwanafunzi wa diploma kuna tetesi nimesikia kwamba ukimaliza diploma kuna uwezakano wa kusoma postgraduate bila kusoma bachelor degree kama umefaulu vizuri.Naombeni mnipe information vizuri

kuna watu nasoma nao DIPLOMA WALIPATA FIRST CLASS NA GPA KUBWA,LAKINI WANAPIGA BACHELOR TENA WENGI TU,INGEKUWEPO HIYO KITU NADHANI WASINGEJITESA FASTA MTU UNAIONA MASTERS.HIYO SI KWELI
 
Mimi ni mwanafunzi wa diploma kuna tetesi nimesikia kwamba ukimaliza diploma kuna uwezakano wa kusoma postgraduate bila kusoma bachelor degree kama umefaulu vizuri.Naombeni mnipe information vizuri

hakuna kitu km hyo mkuu,hakuna shotcut we endelea kusoma tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…