NAOMBA USHAURIWENU.

NAOMBA USHAURIWENU.

The water

Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
42
Reaction score
26
Habari za jion hum ndani,jamani kuna mgonjwa ambaye ni ndugu yangu anatatizo la kutoka na nyama ya ndani kwenye aja kubwa wakati wa kujisaidia hairudi yenyewe mpaka usaidie kwa kurudisha na mkono,hili tatizo tiba yake ni dawa gani?
 
Ushauri wangu ni kwenda hospital,sio tatizo geni hilo tiba zipo.
 
Nadhani hiyo ni Bawasiri. Tiba zipo. Ngoja wataalamu waje.

Mpe pole sana.
 
si aende hospital? au anaona aibu???mwambie hakuna ugonjwa hospital hawajauona,aende tu hamna namna,isijekua cancer
 
Kama uko Dar, mpeleke hospitali ya CCBRT waangalie namna ya kumfanyia upasuaji kuondoa hizo nyama...
 
Mkuu hiki tatizo la polyps mara nyingi huja kama dalili za cancer ya utumbo mkubwa (colon), nenda hospital kubwa karaha kwa vipimo zaidi.
Tatizo hili kuna wanao rithi huyo kwa kwenye genes pia kutokula vyakula vyenye fibre na umri ukisogea pia ni matatizo.

Ndugu yako ajizoeshe kula vyakula kama ugali wa dona, maharage, makande, mchicha. Matunda kama machungwa, mananasi, ma aple, mapears nk.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Habari za jion hum ndani,jamani kuna mgonjwa ambaye ni ndugu yangu anatatizo la kutoka na nyama ya ndani kwenye aja kubwa wakati wa kujisaidia hairudi yenyewe mpaka usaidie kwa kurudisha na mkono,hili tatizo tiba yake ni dawa gani?
Uyo wamemkaza nyuma

Iyo laana iyo ya kufukuliwa tope
 
Nishawahi kusikia pia mwenye tatizo hilo hatakiwi kula nyama nyekundu
 
Habari za jion hum ndani,jamani kuna mgonjwa ambaye ni ndugu yangu anatatizo la kutoka na nyama ya ndani kwenye aja kubwa wakati wa kujisaidia hairudi yenyewe mpaka usaidie kwa kurudisha na mkono,hili tatizo tiba yake ni dawa gani?
Hiyo ni Anal polyps nenda tu hospital hapo hamna namna maana hata ukipewa ushaur haita saidia ila hospital watakusaidia.
 
Back
Top Bottom