Hao madaktari ni wavivu. Umri mkubwa wanao kina Mwinyi wenye miaka tisini na ushehe! Mpeleke CCBRT.Alienda hospital wakamwambia,anaumri mkubwa sana anamiaka 70 hiv hawezi kufanyiwa upasuaji .
Uyo wamemkaza nyumaHabari za jion hum ndani,jamani kuna mgonjwa ambaye ni ndugu yangu anatatizo la kutoka na nyama ya ndani kwenye aja kubwa wakati wa kujisaidia hairudi yenyewe mpaka usaidie kwa kurudisha na mkono,hili tatizo tiba yake ni dawa gani?
Hiyo ni Anal polyps nenda tu hospital hapo hamna namna maana hata ukipewa ushaur haita saidia ila hospital watakusaidia.Habari za jion hum ndani,jamani kuna mgonjwa ambaye ni ndugu yangu anatatizo la kutoka na nyama ya ndani kwenye aja kubwa wakati wa kujisaidia hairudi yenyewe mpaka usaidie kwa kurudisha na mkono,hili tatizo tiba yake ni dawa gani?