Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo kwetu Gamboshi tukufundishe kazi mbalimbali za uganga.Kama unafahamu kozi yoyote inayohusiana na masuala ya afya naomba unambie, naomba unambie pia chuo inakotolewa na qualifications zake. Ni muhimu tafadhal
Mkuu kama una marks za chini mfano div four ya 33 nakushauri nenda UDOM ndio mahali sahihi na watakupokea kwa mikono 2.
Njoo kwetu Gamboshi tukufundishe kazi mbalimbali za uganga.
Tunatoa elimu kuanzia ngazi ya cheti na kuendelea.
Karibu sana
- Kozi zitolewazo ni kuchuwafanya watu wawe misukule
- Kutengeneza popobawa
- kutengeneza dawa za kuwafanya wezi wa wake za watu wanasiane
- tunafundisha mazindiko na matambiko mbalimbali
- kozi ya kutengeneza radi
- kozi ya kutengeneza bu..sha
- kozi ya kumgeuza mbaya wako awe demu na nyingine nyingi.