Naomba usiipite post hii tafadhal.

Ianirto

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
17
Reaction score
1
Kama unafahamu kozi yoyote inayohusiana na masuala ya afya naomba unambie, naomba unambie pia chuo inakotolewa na qualifications zake. Ni muhimu tafadhal
 
Kama unafahamu kozi yoyote inayohusiana na masuala ya afya naomba unambie, naomba unambie pia chuo inakotolewa na qualifications zake. Ni muhimu tafadhal
Njoo kwetu Gamboshi tukufundishe kazi mbalimbali za uganga.
Tunatoa elimu kuanzia ngazi ya cheti na kuendelea.
  • Kozi zitolewazo ni kuchuwafanya watu wawe misukule
  • Kutengeneza popobawa
  • kutengeneza dawa za kuwafanya wezi wa wake za watu wanasiane
  • tunafundisha mazindiko na matambiko mbalimbali
  • kozi ya kutengeneza radi
  • kozi ya kutengeneza bu..sha
  • kozi ya kumgeuza mbaya wako awe demu na nyingine nyingi.
Karibu sana
 
Jamani mi mwenyewe natafuta chuo cha afya cha serikali kilichopo mkoani DODOMA kinachofundisha ngazi ya cheti na diploma. Anayejua msaada tafadhari!
 
Hizo kozi za bujibuji umeziona?kazi kweli kweli
 
Kuna vyuo vya serikali kigoma; songea, njombe uwe umemaliza form 4
 
Mkuu kama una marks za chini mfano div four ya 33 nakushauri nenda UDOM ndio mahali sahihi na watakupokea kwa mikono 2.
 

dah, ndg nmekupata. Cko interestd na mambo hayo
 
jaman tuache jokes for important things nafkiri huyo jamaa wa gambosh facebook itamfaa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…