Naomba utalamu wenu nikamilishe huu utafiti wangu

Naomba utalamu wenu nikamilishe huu utafiti wangu

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
Mpaka muda huu sijapata majibu ya hizi hoja zangu muhimu.
1.Incubator ya mayai 3,000 inatumia watt ngapi za umeme,nauliza hivyo ili nijue kama solar za watt ngapi zinaweza kufit.
2.Ikiwa solar hazitakidhi,je, jenereta gani itaweza kazi hiyo?

NAWASILISHA
 
hebu jaribt kugoogle majibu yanaweza patikana huko pia
 
Kamchina kangu jamani kananinyima fursa ya kugoogle na ndo maana nakuja jf kutafuta nikiamini kuna wataalamu wa kutosha
 
hebu jaribt kugoogle majibu yanaweza patikana huko pia

kwa mtazamo wangu kama watts ni chache labda umeme wa sola ila ni gharama kutumia generator kuendeshea incubator pekee kwani utahitaji ziwe angalau 2.
Hatakama itatumia lita 1 ya mafuta kwa saa 1 hiyo si chini ya 50k kwa siku, 1M mpaka kutotolesha ambayo ni kama 410 kwa kifaranga.

Naona ni vema kupata sehemu yenye umeme kutotoleshea.
 
Mpaka muda huu sijapata majibu ya hizi hoja zangu muhimu.
1.Incubator ya mayai 3,000 inatumia watt ngapi za umeme,nauliza hivyo ili nijue kama solar za watt ngapi zinaweza kufit.
2.Ikiwa solar hazitakidhi,je, jenereta gani itaweza kazi hiyo?

NAWASILISHA

Nazani ni wewe nisha wahi kukujibu hapa, Incubator zinatofautiona kwenye matumizi ya umeme hivyo ni vigumu sana mtu kukuambia watu wataishia kubahatisha tu, wewe unacho takiwa kufanya ni kuwasiliana na huyo muuzaji wako akupatie spceification zake.
 
Back
Top Bottom