Naomba utaratibu wa kupata cheti kingine cha NIT, nilichokuwa nacho kimepotea

Jovinnydinho

Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
29
Reaction score
11
Naitwa Hussein Issa Nzomkunda nliibiwa begi lenye vyeti vyote ila hivo vingine nilishapata utaratibu wa kuvipata isipokua cha NIT tu.

Kwa anaejua utaratibu wa kufuata anisaidie tafadhali.
 
Nadhani ungeenda kuonana na uongozi wa NIT.
 
Naitwa Hussein issa nzomkunda nliibiwa begi lenye vyeti vyote ila
Hivo vingine nilishapata utaratibu wa kuvipata isipokua cha NIT tu.
Kwa anaejua utaratibu wa kufuata anisaidie tafadhali
 
Jaribu kurudi pale chuoni Mzee..mbona simple ila uwe na lost report ya polisi
 
Nadhani ungeenda kuonana na uongozi wa NIT.
Shida mi nlisomea kwenye tawi lao la njombe.
Nlivomuuliza mkuu pale njombe akasema nirudi kusoma upya ila nlikua nawaza kwenda dar ofisi kuu nione watanisaidiaj
 
Jaribu kurudi pale chuoni Mzee..mbona simple ila uwe na lost report ya polisi
Shida mi nlisomea kwenye tawi lao la njombe.
Nlivomuuliza mkuu pale njombe akasema nirudi kusoma upya ila nlikua nawaza kwenda dar ofisi kuu nione watanisaidiaj.
Los report nnayo ata ata coloured copy yake ninayo ila kila napoomba kazi kwenye usaili wanataka original
 
Nadhani hilo Jambo watu wachuoni ulikosoma ndo wanaweza kukusaidia kwa haraka huku ukiwa na viambatanisho Kama loss report na PESA
 
Shida mi nlisomea kwenye tawi lao la njombe.
Nlivomuuliza mkuu pale njombe akasema nirudi kusoma upya ila nlikua nawaza kwenda dar ofisi kuu nione watanisaidiaj
Pole mkuu. Kila record ya mwanachuo huwa inawekwa kwenye system. Ndio maana ya kupewa registration no ukiwa chuoni. Nenda police wakupe loss report, ambataatanisha na barua yako ya kuomba cheti kingine baada ya cha mwanzo kupotea nenda main campus au kwenye campus zao i hope utafanikiwa mkuu.
Note, kwenye hiyo barua usisahau kuandika id no yako majina yote,mwaka uliomaliza,na vingine utajiongeza mwenyewe kila LA kheri.
 
Shida mi nlisomea kwenye tawi lao la njombe.
Nlivomuuliza mkuu pale njombe akasema nirudi kusoma upya ila nlikua nawaza kwenda dar ofisi kuu nione watanisaidiaj.
Los report nnayo ata ata coloured copy yake ninayo ila kila napoomba kazi kwenye usaili wanataka original
Nendq makao makuu
 
Back
Top Bottom