Jovinnydinho
Member
- Apr 22, 2018
- 29
- 11
Nadhani ungeenda kuonana na uongozi wa NIT.Naitwa Hussein Issa Nzomkunda nliibiwa begi lenye vyeti vyote ila hivo vingine nilishapata utaratibu wa kuvipata isipokua cha NIT tu.
Kwa anaejua utaratibu wa kufuata anisaidie tafadhali.
Shida mi nlisomea kwenye tawi lao la njombe.Nadhani ungeenda kuonana na uongozi wa NIT.
LossJaribu kurudi pale chuoni Mzee..mbona simple ila uwe na lost report ya polisi
Shida mi nlisomea kwenye tawi lao la njombe.Jaribu kurudi pale chuoni Mzee..mbona simple ila uwe na lost report ya polisi
Pole mkuu. Kila record ya mwanachuo huwa inawekwa kwenye system. Ndio maana ya kupewa registration no ukiwa chuoni. Nenda police wakupe loss report, ambataatanisha na barua yako ya kuomba cheti kingine baada ya cha mwanzo kupotea nenda main campus au kwenye campus zao i hope utafanikiwa mkuu.Shida mi nlisomea kwenye tawi lao la njombe.
Nlivomuuliza mkuu pale njombe akasema nirudi kusoma upya ila nlikua nawaza kwenda dar ofisi kuu nione watanisaidiaj
Nendq makao makuuShida mi nlisomea kwenye tawi lao la njombe.
Nlivomuuliza mkuu pale njombe akasema nirudi kusoma upya ila nlikua nawaza kwenda dar ofisi kuu nione watanisaidiaj.
Los report nnayo ata ata coloured copy yake ninayo ila kila napoomba kazi kwenye usaili wanataka original